TAMKO LA WAZIRI DKT. GWAJIMA KUELEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE OKTOBA MOSI 2021

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu Manyoni Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za Mapitio ya Sera ya Taifa ya Wazee ya mwaka 2003 kwa kushirikiana na wadau na imeendelea kutekeleza afua mbalimbali zinazolenga  kutatua changamoto zinazowakabili Wazee. Hayo yamesemwa Wilayani Manyoni Mkoani Singida na Waziri wa Afya, Maendeleo